Je, utafanya nini na mkopo kutoka Tala?

Pata mkopo hadi Tshs 300,000

Jinsi Inavyofanya Kazi


Download App ya Tala

Jiunge na mamilioni ya wateja wa Tala wenye furaha. Download app ya Tala kutoka Google Play Store.

Omba mkopo

Fungua app ya Tala na ujisajili. Ukishajisajili, jaza maswali yanayofuata na uombe mkopo wako wa kwanza. Ni rahisi!

Maelezo utakayotupa, yatabaki kua siri

Tunakuhakikishia kua taarifa ziko salama. Timu ya Tala inafanya kazi masaa 24, kwa hiyo usiwe na wasi wasi.

Umekubaliwa mkopo!

Hongera kwa kupata mkopo wako wa kwanza.
Featured By
A man with a phone

Work for Tala

Want to be part of a financial revolution? Good news: we’re hiring! Join a team full of passionate people working hard to change the face of global credit.

Join Us

Employees talking on couch and chair

About Us

At Tala, we see the world differently. We’re driven by a fundamental belief in people and we work hard to prove their potential. We believe in #RadicalTrust.

Learn More