Tunasikitika kukutaarifu ya kwamba Tala kwa sasa haitatoa mikopo Tanzania. Tunashukuru kwa kutupa nafasi ya kukuhudumia na kuwatakia wateja wetu mafanikio.Wateja ambao bado wanadaiwa wanaweza kulipa mikopo yao. Tumia Tigo-Pesa lipa namba 888000 and nambari ya simu uliojisajilia na Tala kama akaunti yako.